Nahitaji m5 kwa mtaji wa biashara

Nahitaji m5 kwa mtaji wa biashara

kukumega

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
1,134
Reaction score
478
Nataka nifanye biashara ya viatu, kwa eneo niopo. Nahitaji M5 kama mtaji. Mwenye wazo au ushauri namna ya kupata hii hela tafadhali nahitaji sana ushauri au maoni yako au kama kunamtu ajaeweza kunikopesha na anikope.
 
sidhani kama kunaa wazo zuri hapo zaidi ya kutafuta mtaji,,au kama unakopesheka kakope
 
Back
Top Bottom