Nahitaji Maboksi ya kusafirishia samaki

Nahitaji Maboksi ya kusafirishia samaki

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
653
Habarini,
Yanahitajika maboksi ya kusafirishia samaki barafu kama haya hapa kwenye picha.

Mwenye nayo tuwasiliane!!
2021_01_08_19.48.50.jpg
 
Mkuu kwanza picha ulikoidownload lugha yake chini tatizo sizani kama kwa hapa bongolanda utayapata labda google
 
Upo mkoa gani mi ni supplier wa hizi box
 
Back
Top Bottom