cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Angalia picha kama nilivyokueleza acha uzombiMkuu kwanza picha ulikoidownload lugha yake chini tatizo sizani kama kwa hapa bongolanda utayapata labda google
Nimeandika kama hayo kwenye siyo yaliyo kwenye pichaMkuu kwanza picha ulikoidownload lugha yake chini tatizo sizani kama kwa hapa bongolanda utayapata labda google
Unayo mzee!!Mimi ni dalali, del credere commissioner
Nipo songeaUpo mkoa gani mi ni supplier wa hizi box
AsanteNimewahi kuyaona sana pale soko la feri, kama upo Dar jaribu kwenda