Nnatarajia kuwa mmoja wa wakulima wa tangawizi kwa mkoa wa kilimanjaro. Lakini kabla sijajitosa wakuu naomba mwenye kujua vizuri hichi kilimo anielezee.
[emoji295]Jinsi yakukilima
[emoji295]Changamoto zake
[emoji295]Faida na hasara
[emoji295]Masoko/ connection