Nahitaji maelekezo ya kilimo cha tangawizi

Nahitaji maelekezo ya kilimo cha tangawizi

Godfirst

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
407
Reaction score
474
Salam Wakuu,

Nnatarajia kuwa mmoja wa wakulima wa tangawizi kwa mkoa wa kilimanjaro. Lakini kabla sijajitosa wakuu naomba mwenye kujua vizuri hichi kilimo anielezee.

[emoji295]Jinsi yakukilima
[emoji295]Changamoto zake
[emoji295]Faida na hasara
[emoji295]Masoko/ connection

Natanguliza shukrani zangu.
 
Tanga ilimwayotnga ndiyo inasoko kubwa na ni nzuri
 
Shukrani Boss
Kuna sehemu yakuuzia au watu wa magari wanakuja mpk shambani
Maeneo kama ya amani wateja wanakuja na magari yao makubwa kununua ni soko ambalo watu hulifata
 
Back
Top Bottom