Nahitaji maembe dodo na boribo tani tano yaani kilo 5000 kwa Zanzibar au Dar

puruwanji

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
81
Reaction score
28
Nahitaji maembe kwa jumla kilo 5000..tani 5 ya maembe dodo na boribo kwa yeyote mwenye nayo tafadhali nisaidie namba ya simu tuwasiliane tupige biashara ila nahitaji kwa bei nzuri ya jumla na biashara hii itakua ya kuendelea ahsante
 
Nenda Tabora Mkuu tena huu ndo msimu wenyewe ukachukua tani zako
 
Nahitaji maembe kwa jumla kilo 5000..tani 5 ya maembe dodo na boribo kwa yeyote mwenye nayo tafadhali nisaidie namba ya simu tuwasiliane tupige biashara ila nahitaji kwa bei nzuri ya jumla na biashara hii itakua ya kuendelea ahsante
hello
Mimi naweza kukupatia hizo kilo 5000 za embe Dodo.nina mzigo wa kutosha.

Nipatie namba yako ya simu tuwasiliane na kupatana bei
 
naomba ntaftie namba ya dalali wa pilipili mbuzi xanzibar
Nahitaji maembe kwa jumla kilo 5000..tani 5 ya maembe dodo na boribo kwa yeyote mwenye nayo tafadhali nisaidie namba ya simu tuwasiliane tupige biashara ila nahitaji kwa bei nzuri ya jumla na biashara hii itakua ya kuendelea ahsante
 
Nahitaji maembe kwa jumla kilo 5000..tani 5 ya maembe dodo na boribo kwa yeyote mwenye nayo tafadhali nisaidie namba ya simu tuwasiliane tupige biashara ila nahitaji kwa bei nzuri ya jumla na biashara hii itakua ya kuendelea ahsante
Mkuu kama uko seriously na mzigo nicheki pm nipatie namba yako unipe dili la kwenda vijijini tunanunua mwembe mzima tunatikisa tunaondoka na mzigo vijiji viwili au vitatu tunarud mjini hii itapunguza hata cost kwako mimi na ww tutaelewana tu malipo
 
Back
Top Bottom