mark haruni
Member
- Sep 6, 2023
- 15
- 29
Mafuta gani mazuri ya ndevu kwa mwanaume?
Anayoweza kutumia yakajaza ndevu vizuri na kuzifanya zenye kuvutia na afya.
Anayoweza kutumia yakajaza ndevu vizuri na kuzifanya zenye kuvutia na afya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndevu kwa mwanaume ni sunnah kaka.Duuuhh
Kwahiyo unataka uyavutie majimama?
kuuliza maana yangu ni kwamba zipo ila zinauotaji fulani ambao ni mzuri ila siyo kivile, i mean zinaitajik kufanyiwa uboreshwaji..njia pekee ya kuotesha ndevu kama huna ni kupandikiziwa....
shukrani kwa ushauri nitafanyia kazi..Tumia mafuta ya Nazi kwa wingi alafu wekaga super black ata kwa mwezi mara moja na ukiwa unapaka na mafuta ya Nazi uwa zinan'gaa na kuonekana zenye Afya
Karuhusu wapi leta ushahidindevu kwa mwanaume ni sunnah kaka.
Halafu ndio pambo la mwanaume ambalo hata MUNGU karuhusu.
Aweke Hinnah Kwenye NdevuTumia mafuta ya Nazi kwa wingi alafu wekaga super black ata kwa mwezi mara moja na ukiwa unapaka na mafuta ya Nazi uwa zinan'gaa na kuonekana zenye Afya
Iyo ni urembo tu wa kawaida Ila mtoa mada anajitaji ndevu zenye Afya KwanzaAweke Hinnah Kwenye Ndevu