Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji mafuta ya nazi in bulky kuanzia lita 1000 na kuendelea,aliyenayo atoe offer yake
Unasumbuliwa na dalali. Hawa huwa wapuuzi sana.22,000 kwa lita ngapi
Kama upo Dar nenda kwa wauzaji rejareja km Kkoo uulize wananunua wapi au wazalishaji wanakopatikana uendeNahitaji mafuta ya nazi in bulky kuanzia lita 1000 na kuendelea,aliyenayo atoe offer yake
Unasumbuliwa na dalali. Hawa huwa wapuuzi sana.
Sihangaiki namshauri. Ikiwa wewe ni mzalishaji basi ni rahisi tu, umepata mteja. Shughulika nae kutosheleza order yake.Sijui hata unahangaika na nini
22,000 aende kariakoo Kama atapata hiyo bei kwa pure coconut oil
Hiyo namnunulia nazi naandaa namtengenezea mafuta analipia per lita
Kama anahitaji ya kupika aende atapata Kariakoo.
Ntakucheki jioni mkuiSijui hata unahangaika na nini
22,000 aende kariakoo Kama atapata hiyo bei kwa pure coconut oil
Hiyo namnunulia nazi naandaa namtengenezea mafuta analipia per lita
Kama anahitaji ya kupika aende atapata Kariakoo.
Extra Virgin Coconut oil 20,000 kwa LitaNahitaji mafuta ya nazi in bulky kuanzia lita 1000 na kuendelea,aliyenayo atoe offer yake
Nilikushangaa ulivyoraja hiyo bei.Sijui hata unahangaika na nini
22,000 aende kariakoo Kama atapata hiyo bei kwa pure coconut oil
Hiyo namnunulia nazi naandaa namtengenezea mafuta analipia per lita
Kama anahitaji ya kupika aende atapata Kariakoo.