NAHITAJI MAGARI MAKUBWA YA KUSAFIRISHA MZIGO

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
954
Assalam wana jukwaa
kichwa chajieleza, nina mzigo mkavu/cargo upo DSM lengo ni kuusafirisha hadi mikoani hivyo nahitaji magari makubwa yanisafirishie. magari yawe na sifa zifuatazo
i/makubwa yenye uwezo wa kubeba tani 25-40
ii/yenye vibali vyote muhimu vya serikali ie SUMATRA na BIMA nk
iii/kwa kuwa yanahitajika mengi, wenye mengi watapewa kipaumbele
iv/kuwa tayari kwenda mkoa wowote TZ au hata nje ikilazimika
v/malipo ni kwa tani na itakuwa maelewano
V/advance ipo ya posho ya dereva, mafuta nk
FURSA HIYO TUITUMIE
maelezo zaidi njoo PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…