nahitaji magazeti

nahitaji magazeti

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Natafuta mtu anaeuza magazeti ya vifungashio kwa bei ya jumla kama yupo humu anicheki WhatsApp
 
Yanapatikana 20kg kwa elf 52
mimi nipo mkoani nilikuwa nanunua magazeti ya kiarabu hayo kwa kilo 15 bei ya sh elfu 30 mimi nilikuwa nauza kwa kilo 2500 sasa naona tena yamepanda ghafla hadi kufikia elfu 45 sasa nashindw kujua mimi nitauzaje ndo mana nikaja hapa kutafuta mbadala lakini yako ni kubwa pia ukizingatia sasa watu washaanza kutumia mifuko ile inayoangaza kufungia vitu bei yake ni sh 2000 mifuko inakuwa 100 ndani kwahiyo hapa unakuja ushindan kwa wauzaji magazeti natumai yatashuka bei
 
Kumbuka pia serikali inapiga marufuku hio mifuko ya kufungia na hata kama watu wanaitumia ni kwa uoga sana.
Magazeti na bahasha zitaendelea kutumika kwa sana na bei itabaki kuwa juu tu mkuu.

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Hii mifuko ya kuwekea karanga haijakatazwa nafikiria kuanza kuuza hii mana magazeti yamepanda balaa hali inayopelekea wateja kutokununua
 
Uza hata bahasha(paperbag) zina bei chini kuliko magazeti
 
mimi nipo mkoani nilikuwa nanunua magazeti ya kiarabu hayo kwa kilo 15 bei ya sh elfu 30 mimi nilikuwa nauza kwa kilo 2500 sasa naona tena yamepanda ghafla hadi kufikia elfu 45 sasa nashindw kujua mimi nitauzaje ndo mana nikaja hapa kutafuta mbadala lakini yako ni kubwa pia ukizingatia sasa watu washaanza kutumia mifuko ile inayoangaza kufungia vitu bei yake ni sh 2000 mifuko inakuwa 100 ndani kwahiyo hapa unakuja ushindan kwa wauzaji magazeti natumai yatashuka bei
Bado unahitaji?
 
Back
Top Bottom