Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Natafuta mtu anaeuza magazeti ya vifungashio kwa bei ya jumla kama yupo humu anicheki WhatsApp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapatikana wapi mkuu?Natafuta mtu anaeuza magazeti ya vifungashio kwa bei ya jumla kama yupo humu anicheki WhatsApp
Nami nahitaji magazeti pia kwa Bei ya jumla .Unapatikana wapi mkuu?
mimi nipo mkoani nilikuwa nanunua magazeti ya kiarabu hayo kwa kilo 15 bei ya sh elfu 30 mimi nilikuwa nauza kwa kilo 2500 sasa naona tena yamepanda ghafla hadi kufikia elfu 45 sasa nashindw kujua mimi nitauzaje ndo mana nikaja hapa kutafuta mbadala lakini yako ni kubwa pia ukizingatia sasa watu washaanza kutumia mifuko ile inayoangaza kufungia vitu bei yake ni sh 2000 mifuko inakuwa 100 ndani kwahiyo hapa unakuja ushindan kwa wauzaji magazeti natumai yatashuka beiYanapatikana 20kg kwa elf 52
Hii mifuko ya kuwekea karanga haijakatazwa nafikiria kuanza kuuza hii mana magazeti yamepanda balaa hali inayopelekea wateja kutokununuaKumbuka pia serikali inapiga marufuku hio mifuko ya kufungia na hata kama watu wanaitumia ni kwa uoga sana.
Magazeti na bahasha zitaendelea kutumika kwa sana na bei itabaki kuwa juu tu mkuu.
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Bado unahitaji magazeti ? Yanapatikana magazeti ya Dubai ya mtelezo ambayo hayaloi nauza 35000/= kwa kilo 15 mawasiliano 0753858259Natafuta mtu anaeuza magazeti ya vifungashio kwa bei ya jumla kama yupo humu anicheki WhatsApp
Bado unahitaji?mimi nipo mkoani nilikuwa nanunua magazeti ya kiarabu hayo kwa kilo 15 bei ya sh elfu 30 mimi nilikuwa nauza kwa kilo 2500 sasa naona tena yamepanda ghafla hadi kufikia elfu 45 sasa nashindw kujua mimi nitauzaje ndo mana nikaja hapa kutafuta mbadala lakini yako ni kubwa pia ukizingatia sasa watu washaanza kutumia mifuko ile inayoangaza kufungia vitu bei yake ni sh 2000 mifuko inakuwa 100 ndani kwahiyo hapa unakuja ushindan kwa wauzaji magazeti natumai yatashuka bei
Kuna jamaa yangu anauza magazeti anayo Kg 1400 yaani KG 20 NI 28,000. wekanamba nikuunganishe nae unipe tu ya udalaliNamtafuta mdau wa kuniuzia magazeti yale ya south Africa anicheki