Nahitaji majibu kuhusu kirusi cha HIV

Nimekuelewa vizuri sana mkuu ,jamaa alisema kuna watu virusi havina madhara ila wanaambukiza wengine na wewe ndiyo ukasema ni mmoja wapo...Najua HIV na ukimwi ni vitu viwili tofauti ,unaweza ukapata UKIMWI lakini usiwe na HIV.
 
Ndio ndio mimi sina na siambukizi naona tumeelewana vibaya nimezungumzia virusi ila sio vya ukimwi elewa hapo vipo vya polio, tetekuwanga, nk
 
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Nimesoma hiyo namba moja ikabidi niache kuendelea
 
Wahadzabe wamekua wakiwinda na kuwala nyani maisha yao yote na hawajawahi kupata ukimwi... Unadhani tuna haja ya kuendelea kuamini hizi habari?
 
Ilishawahi kukutokea Hilo?
 
Mm km mbobevu wa PCB

Kila kiumbe kilicho hai lazima kinamwisho yaan lzm kitakufa

Ili kife kikiwa ndani ya damu lazima ule vyakula vinavyozalisha cells kwa wingi in years vitapotea au kufa

Siku moja nitatoa somo humu watu waache kuteseka
 
Ahsante kwa hili somo, barikiwa mno.
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu ,jamaa alisema kuna watu virusi havina madhara ila wanaambukiza wengine na wewe ndiyo ukasema ni mmoja wapo...Najua HIV na ukimwi ni vitu viwili tofauti ,unaweza ukapata UKIMWI lakini usiwe na HIV.
Inawezekanaje? Useme unaweza kuwa na HIV, ila sio UKIMWI.
 
Inawezekanaje? Useme unaweza kuwa na HIV, ila sio UKIMWI.
Virusi vya Ukimwi na Upungufu wa kinga ni vitu viwili tofauti unaweza uwe na Virusi vya Ukimwi ila usiwe na Ukimwi kuna watu wana Upungufu wa kinga mwilini ila hawana Virusi vya Ukimwi, elewa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…