Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 191
- 129
Habari Wakuu,
Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza.
Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding 😀).
Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of Quantities (BoQ) kama wanavoita ma-fundi wabobezi).
Bei sio lazima ziwe accuracy sana, nmeshajenga vinyumba kadha hapa Daslam so najua vichochoro vya kutafuta materials ila nachohitaji ni materials estimations ziwe za uhakika.
Nitakutumia full Map whatsap au kwa email kama tutaelewana ila hapa naweka ka video na picha kukupa idea. (Wabongo wezi wa ramani😜)
Tafadhali kama wewe ni expert wa kuandaa BoQ niandikie kwenye whatsapp +255746260499. Nitakulipa, sio bure 😜😜.