Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding π).
Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of Quantities (BoQ) kama wanavoita ma-fundi wabobezi).
Bei sio lazima ziwe accuracy sana, nmeshajenga vinyumba kadha hapa Daslam so najua vichochoro vya kutafuta materials ila nachohitaji ni materials estimations ziwe za uhakika.
Nitakutumia full Map whatsap au kwa email kama tutaelewana ila hapa naweka ka video na picha kukupa idea. (Wabongo wezi wa ramaniπ)
Tafadhali kama wewe ni expert wa kuandaa BoQ niandikie kwenye whatsapp +255746260499. Nitakulipa, sio bure ππ.
Ndugu ahsante kwa lugha nzito, ila two things:
1. Sijui unajua kusoma, manake nimeandika vizuri kwenye uzi wangu kuwa nitakaye kubaliana nae nitamtumia ramani complete inbox or whatsApp, sasa sielewi kwa nini unakomaa niweke ramani hapa? au wewe ndo hao watu nmesema hapo π (vibaka wa ramani..)
2. Nimeshapata mtu na kazi ameshaanza. Punguza jazba, weekend hii nenda ukanywe hata serengeti lite mbili, mapigo ya moyo yatakaa sawaaa!