Nahitaji marafiki HIV positive

Nahitaji marafiki HIV positive

van andy

Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
7
Reaction score
21
Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo hii kitu sasa changamoto zimefanya nipoteze baadh ya vitu muhim na kupelekea kuwa na HIGH VIRAL LOAD[emoji20] [emoji20] [emoji20]

zabibuandrew5@gmail.com
Find me [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Usijali mpendwa
Na wala usikate tamaa ishi kwa matumaini na utakuwa sawa,jichanganye na watu na usijiwekee akilini kuwa uko katika hali fulani itakupelekea kudhoofika.
 
Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo hii kitu sasa changamoto zimefanya nipoteze baadh ya vitu muhim na kupelekea kuwa na HIGH VIRAL LOAD[emoji20] [emoji20] [emoji20]

zabibuandrew5@gmail.com
Find me [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
una miaka mingapia up to now
 
Ucjali tupo wengi tuna dunda mie nahitaji mdada wa kuliwazana nae. aje pm
 
Back
Top Bottom