[emoji23] [emoji23] si wasichana tuu hata wanaume ila wapatikane katika maeneo hayo tajwa.nimepreffer hayo maeneo kwasababu ndiko nakopatikana mimi hivyo kurahisisha mchakato wa kuonana.Kwa iyo marafiki wa kubadilishana nao mawazo hili kufikia marengo ni wasichana.....? Na si wanawake wenye kujitambua na kujua mengi kuusu maisha.....au unamaanisha mawazo ya kimausiano wa kimapenzi...? Pia umechagua na mikoa kwa hiyo hiyo mikoa ndiyo wanapatikana wasichana wenye mawazo mazuri...? Ebu tufafanulie hapa....[emoji113]