Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
Mambo vipi wadau,kichwa kinajieleza,mimi ni kijana mdogo tu nahitaji marafiki vijana kwaajili ya kubadilishana mawazo(hususani wasichana sio wanawake) na ni kiurafiki tuu kwaajili ya kubadilishana mambo mbalimbali ya kimaisha ili tufikie malengo.
NB:Ntapenda zaidi nikiwapata wanaotokea maeneo ya kusini i.e Mbeya,Iringa,njombe,songea na kwingineko.
NB:Ntapenda zaidi nikiwapata wanaotokea maeneo ya kusini i.e Mbeya,Iringa,njombe,songea na kwingineko.