Hya bhna nashukuru kusikia hvo so hapia hapa live kuwa utayatoa machungu yote niliyo nayoYou deserve kila kitu kizuri na kwa uliyopitia hapo katika hakuna budi ukipata mtu atakaye kufanya ujisikie vile unahisi inatakiwa ujisikie
Machungu yamegawanyika katika vipengele vingi!, Najua tutawekana sawa mbele ya safari.Ila naapia kuyatoa machungu yako na kusahau yale yote ulopitia kadri ya uwezo wangu woteHya bhna nashukuru kusikia hvo so hapia hapa live kuwa utayatoa machungu yote niliyo nayo
Wajumbe wameshuhudia watakuwa mashaidi kwa ili[emoji56]Machungu yamegawanyika katika vipengele vingi!, Najua tutawekana sawa mbele ya safkri.Ila naapia kuyatoa machungu yako na kusahau yale yote ulopitia kadri ya uwezo wangu wote
Wajumbeeee! Watu noma sana haoWajumbe wameshuhudia watakuwa mashaidi kwa ili[emoji56]
Baraka zako zinaitajika mjumbe ili badala ya kujaza thread tuweze kujaza hata ukumbi wa harusi siku za usoniLinah Vs Basarere ndo mmeijaza comments hii thread.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Harusi itoke wapi wakati linahbaby ni dume! Tunza marinda yako we jamaaBaraka zako zinaitajika mjumbe ili badala ya kujaza thread tuweze kujaza hata ukumbi wa harusi siku za usoni
Harusi itoke wapi wakati linahbaby ni dume! Tunza marinda yako we jamaa
Duh mara nisha kuwa dume[emoji848]
Hahahaha, aseeUmejuaje mkuu...
Dah nathibitishaje sasa kwa mfanoMsibitishie hyo kanikosea [emoji17]
[emoji851][emoji851]Baraka zako zinaitajika mjumbe ili badala ya kujaza thread tuweze kujaza hata ukumbi wa harusi siku za usoni