Habari zenu.....
Nahitaji marafiki wa kuchart, nina stress mno,nahisi kwa kufanya hivyo kutanipunguzia mawazo...
Mimi ni msichana nina 25 yrs...naishi Dar es salaam...
Jinsia yeyote sibagui....njoo tubadilishane mawazo...ni PM kwa maelezo zaidi
Thanks.....