Kawalala93
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 400
- 1,587
mkuu ukipata wakutosha naomba unipunguzie kidogo na mimi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu.....
Nahitaji marafiki wa kuchart, nina stress mno,nahisi kwa kufanya hivyo kutanipunguzia mawazo...
Mimi ni msichana nina 25 yrs...naishi Dar es salaam...
Jinsia yeyote sibagui....njoo tubadilishane mawazo...ni PM kwa maelezo zaidi
Thanks.....