Nahitaji marafiki wa kuchart nao

Nahitaji marafiki wa kuchart nao

shuu00

Member
Joined
Jan 30, 2017
Posts
13
Reaction score
58
Habari zenu.....
Nahitaji marafiki wa kuchart,nina stress mno,nahisi kwa kufanya hivyo kutanipunguzia mawazo...
Mimi ni msichana nina 25 yrs...naishi Dar es salaam...
Jinsia yeyote sibagui....njoo tubadilishane mawazo...ni PM kwa maelezo zaidi
Thanks.....
 
Back
Top Bottom