nahitaji Marketing personel kumi changamkieni......

nahitaji Marketing personel kumi changamkieni......

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,408
Reaction score
6,094
wadau kuna mahali wanahitaji marketing officer nane,
uwe na experience ya angalau miaka 2 au graduate wa chuo,
uwe na uwezo wa kujieleza kiswahili na kiingereza,

Tuma maombi kwenye:

info@emiratealuminium.com
 
hata jina la kampuni basi hujaeka ndugu,,,haya
 
Acha kuwarusha watu roho we toa jina la kampuni, mkoa na hata maelezo kidogo ya qualification si kukuruka tu kiasi hiki.
 
Si useme unaitaji wauza maduka!
Unaitaji graduate kukaa dukani kweli?
 
Jamani acheni ukilaza, huko chuo waliwafundisha kumeza? sio kuelewa?

Shukuru kwa information alizowapa.

Jina lake ni:

Kama 2 Equevalent to 4
3 Equevalent to 6
info@azaniabank.com equevalent to Azania Bank na www.azaniabank.com
JE info@emiratealuminium.com equevalent to what???????????????

Nadhani is equevalent to Emirate Aluminium (T) ltd , EMIRATE ALUMINIUM DAR ES SALAAM | CONSTRUCTION | BUILDING MATERIAL | ALLUMINIUM GLASS & WORK

Cheers
Thanks mkuu,
sio kila kitu kutafuniwa jamani...ndo maana wakenya wanatusumbua heb tuchangamke...
 
Back
Top Bottom