Wasiliana na mwenyeji wa Ruvu kwenye kijiji kinaitwa Kitomondo anaitwa Macho.Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji shamba la kukodi, kwa mikoa inayopakana na Dar.
Shamba lisipungue Ekari tano; liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji, ( maji yawe yanapatikana kiangazi chote); liwe linafikika kiurahisi kutoka barabara Kuu; mwenye ufahamu au kuwa nalo, anicheki DM.
Nawasilisha.