Mwanamena
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 1,107
- 1,360
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji shamba la kukodi, kwa mikoa inayopakana na Dar.
Shamba lisipungue Ekari tano; liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji, ( maji yawe yanapatikana kiangazi chote); liwe linafikika kiurahisi kutoka barabara Kuu; mwenye ufahamu au kuwa nalo, anicheki DM.
Nawasilisha.