Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
Mkuu toka 2015 nitatunza namba may be nikupe yangu nikupeleke duka niliyonunua, maana hata simu niliyotumia 2015 siyo hii ya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una namba ya muuzaji nisaidie mkuu utakuwa umefanya jambo oa maana sana
Sent using Jamii Forums mobile app