Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
Kama una namba ya muuzaji nisaidie mkuu utakuwa umefanya jambo oa maana sana
Dah ntaneda maana hizi manual ni sawa washirik katika ufuaji jambo linalotufanya mabachelor uone bora umpe mtu ela afueMkuu toka 2015 nitatunza namba may be nikupe yangu nikupeleke duka niliyonunua, maana hata simu niliyotumia 2015 siyo hii ya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli hii inanisaidia Sana sijawahi kuleta hata fundi zaidi ya yule aliyekuja kuunga mpira wa kuingiza maji na wa kutoa maji.Dah ntaneda maana hizi manual ni sawa washirik katika ufuaji jambo linalotufanya mabachelor uone bora umpe mtu ela afue
Hello Wana JF. Naombeni mwenye kujua duka ambalo wanauza machine za kufulia nguo Kwa bei nafuu kidogo Kwa mkoa wa DARESALAAM please Naombeni mnipe contact zao .Au kama Kuna mtu anayeuza iliyotumika aniuzie please .Nahitaji Kg 10 ,
Asante sana wanandugu wapendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
HOTPOINT 8KG FROM UK , TSH 900000.00 HAIPUNGUI . BADO MPYA NA MAKARATASI YAKE
Nenda Mohammed enterprise nkuruma street au nyerere rd Jirani na DRTC nyuma ya uchumi ikitokea mjiniHello Wana JF. Naombeni mwenye kujua duka ambalo wanauza machine za kufulia nguo Kwa bei nafuu kidogo Kwa mkoa wa DARESALAAM please Naombeni mnipe contact zao .Au kama Kuna mtu anayeuza iliyotumika aniuzie please .Nahitaji Kg 10 ,
Asante sana wanandugu wapendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Auto inafanya kila kitu wewe unaweka Nguo na Sabuni halafu unaiset inategemea aina ya nguo pale juu itakuonyesha kama Nguo nyepesi bonyeza hapa Kama nzito bonyeza hapa, yenyewe mashine itaingiza maji baada ya wewe kuiwasha itafua itasuuza utakausha itapiga alarm unaenda kuchukua Nguo zako zinakuwa 90% zimekauka hiyo 10% unamalizia kwenye jua, manual sijawahi kutumiaKatika vitu vinanilia pesa Ni pamoja na kulipa mfuaji ....naombeni mnifungue macho matumizi ya hizo mashine za auto na manual na Ni kwanini ninunue na maelezo mengine .....naombeni lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei rahisi ni ipi? Nilinunua yangu automatic kwa 450,000/= kg 8 brand ya Simsung toka Mwaka 2015 Hadi leo haijawahi kusumbua chochote na inafanyishwa kazi mpaka kuna muda naiombea likizo
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo bei.. nahisi sio automatic. hiyo ni bei ya manual washing machine.... wanaziita twin tub
Huyu mtu ana mke na mtoto kuwa nae makini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au ulikuwa umeingia Kingi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au ulikuwa umeingia Kingi??
Acha na masikini huyo