Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

Mr HQ

Member
Joined
Oct 26, 2020
Posts
81
Reaction score
51
Habari wan JF Natumai ni wazima,

Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani.

Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
 
Nenda Sido.
 
Jifunze kanuni za uandishi, unapoanza sentensi unaanza na capital letter.

Ujuwaji mwingine mbele giza, kitu gani hujaelewa hapo?
Yani maneno yote hayo hawajayaona wameon juice ya umeme daaah
 
Nipo kisemvule pwani
Hizo zipo aina tofaut kuna za kichina utazipata K/Koo Kwenye Maduka halaf Kuna hizo za sido pia kariakoo utazipata pale gerezan kuna za jenereta na Umeme na ni ile barabara ambayo wanashukia na kupandia magari ya kisemvule (nilipoenda me ilikuwa stand ya gerezanu haitumiki sijui now) kuna vijna weng wamejipanga wanauza juic nyuma yao kuna jamaa wanazalisha hizo mashine ukifika tu utawaona.
 
Kuna wakati dada mmoja hivi anaitwa Leyla almaarufu Ley alikuwa anaziuza, sijui kama anazo miaka hii, yupo mtaa wa Mazengo Upanga

Mcheki kwa hii namba 0767137877
 
Back
Top Bottom