Jamani nina project ya duka la nyama la kisasa(Butcher) nataka kuifanya, vitu vingi nimeshapata ila sasa ninachohitaji ni mashine ya kusagia nyama. Iwe na uwezo angalau wa kusaga kilo 10 kwa siku.
Pia nataka katika biashara hiyo niwe natoa mifuko(Vifungashio) yangu mwenyewe, kama tunavyoona katika maduka mbalimbali hasa ya nguo na supermarkets. Yeyote anaefahamu mtu au anaetengeneza mifuko hii ani PM.
Be blessed.