kuhusu vifungashio vya plastic vyenye label yako azam printing wanafanya...iyo kwa gharama nafuu sana..tatizo lao kubwa ni kuwa unatakiwa uanze kuprinti bags zenye.zaidi ya kilo 500
Ok asante kwa taarifa. Ila mimi nataka midogo midogo ya kuweka kuanzia kilo moja mpaka kilo 5.
Anamaanisha mzigo wa plastik utakaoprint kwa mara moja jumla uwe na kilo 500 na kuendelea
Anamaanisha mzigo wa plastik utakaoprint kwa mara moja jumla uwe na kilo 500 na kuendelea
Kama unamtu dubai agizia hiyo mashine zipo dragonmart una print na unapack vizuri sana halafu unaweza kuwa unasambaza kwenye super market pia
omar packaging watakusaidia kuhusu vifungashio ila na weneywe ni mpaka uwe na vifungashio vingi kama kg 100 kuendelea.
nakushauri kama kweli una bucha la nyama take your time tembelea 'MTANGA BUTCHERY' liko iringa mjini mtaa wa uhindini karibu na amani stores. nimeona wana meat packaging mashine ambayo inapack nyama vizuri sana na lebo unaweza ukaiprint wewe mwenyewe kwenye iyo mifuko. so ukaibandika kwa juu. KWA hapa Dar hawana bucha ila wanapanga kufungua by next yr. pay a visit to them ukajifunze jambo mkuu.
hongera sana kwa kujiongeza
Waoooo kesho naenda Ir inaweza kuwa nafansi nzuri yakujifunza zaidi.
af uniletee fback bapa