Nahitaji material za kutengeneza viatu.

Nahitaji material za kutengeneza viatu.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze.

Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda na biashara za kuigiza huwa siziwezi napendelea zaidi nifike mimi mwenyewe dukani kuikagua na kuiona kwa macho bidhaa ninayoinunua

Nikipata maelekezo ya kufika dukani moja kwa moja bila kupitia kwa winga nitashukuru zaidi
 
Nenda manzese hapo Darajani ulizia duka linaitwa Woiso lipo upande wa gari zinaenda Shekilango.
 
Nenda manzese hapo Darajani ulizia duka linaitwa Woiso lipo upande wa gari zinaenda Shekilango.
Shukrani sana mkuu.. nawajua hao woiso sema nilielekezwa duka lao la salasala., sasa kutoka huku kwangu chang'ombe mpaka salasala ni umbali mrefu ukizingatia kwamba sina muda mpaka jpl ambayo ni siku ya kushinda na familia.. ngoja ni-adjust ratiba ili alhamis au ijumaa nifike pale manzese
 
Back
Top Bottom