Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze.
Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda na biashara za kuigiza huwa siziwezi napendelea zaidi nifike mimi mwenyewe dukani kuikagua na kuiona kwa macho bidhaa ninayoinunua
Nikipata maelekezo ya kufika dukani moja kwa moja bila kupitia kwa winga nitashukuru zaidi