Nahitaji matured Man tuanze safari ya ndoa

Nahitaji matured Man tuanze safari ya ndoa

Hello wanajukwaa,
Mimi ni mwanamke wa miaka 31
Nina mtoto mmoja
Ni mkristo
Nimeajiriwa

Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari.

Awe mkristo
Awe na miaka 33 -40
Awe na kazi halali ya kuingiza kipato
Awe na elimu kiasi
Awe na Nia ya kujenga familia

Kwa aliye na Nia karibu PM.



Sent using Jamii Forums mobile app
Npm namba yko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nione pm please
Hello wanajukwaa,
Mimi ni mwanamke wa miaka 31
Nina mtoto mmoja
Ni mkristo
Nimeajiriwa

Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari.

Awe mkristo
Awe na miaka 33 -40
Awe na kazi halali ya kuingiza kipato
Awe na elimu kiasi
Awe na Nia ya kujenga familia

Kwa aliye na Nia karibu PM.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliekuzalisha yuko wap tuanzie hapo

Mwanamke akishazaa hana thaman tena..

Ndo tunavyoongeaga kijiwen..dont quote me wrong
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hello wanajukwaa,
Mimi ni mwanamke wa miaka 31
Nina mtoto mmoja
Ni mkristo
Nimeajiriwa

Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari.

Awe mkristo
Awe na miaka 33 -40
Awe na kazi halali ya kuingiza kipato
Awe na elimu kiasi
Awe na Nia ya kujenga familia

Kwa aliye na Nia karibu PM.

Nitext kwenye 0743503493

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom