Emanzi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 261
- 118
Wanajanvi,
Natumaini hamjambo na mmeamka salama.Nimejitahidi kutafuta contact za St.Clara girls Secondary School sijafanikiwa.
Mdogo wangu anamaliza la saba this year nahitaji kumuombea pale kwa ajili ya Level .
Kuna mtu ambaye anajua contact zao?
Au kwa ufupi, ada zao kwa mwaka?
Please help me guys