Bandazone santoS
Member
- Jan 23, 2020
- 14
- 12
Lipo Tanga Mtimbwani....Lipo tanga sehemu gani?
Ya nalielewa hilo kiongozi!.hakuna tatizo muongozo ninaODaah hiyo biashara ya madini, uwe makini sana, la sivyo utapotea kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuliza bei ya shamba hapa sidhani kama ni sahihi. Bei inategemea vitu vingi sana. Utafiti wako ungeufanya huko huko sehemu shamba liliko. Unaweza kujifanya kama unatafuta shamba la kununua hilo eneo usikilizie utaambiwa bei gani.Ya nalielewa hilo kiongozi!.hakuna tatizo muongozo ninaO
Huko Mtimbwani kiwanja hakina utata kweli???Natumai Mu Wazima!
Nina shamba langu Hekari 5 lipo Tanga! Nafikiria kulipiga bei, then pesa nitakayopata niongezee niingie kwenye biashara ya madini huku Arusha.
Market Value ya hiyo Hekari 5 ita-range kama bei gani hivi? Tukizungumzia "Time Value Money".
Mawazo yenu wadau.
Achana na mawazo hayo utakua masikini mileleNatumai Mu Wazima!