Nahitaji mawazo: Nataka kuuza shamba langu kisha niwekeze kwenye madini

Nahitaji mawazo: Nataka kuuza shamba langu kisha niwekeze kwenye madini

Joined
Jan 23, 2020
Posts
14
Reaction score
12
Natumai Mu Wazima!

Nina shamba langu Hekari 5 lipo Tanga! Nafikiria kulipiga bei, then pesa nitakayopata niongezee niingie kwenye biashara ya madini huku Arusha.

Market Value ya hiyo Hekari 5 ita-range kama bei gani hivi? Tukizungumzia "Time Value Money".

Mawazo yenu wadau.
 
Habar yako kiongoz? Ushauri wa bure kwako,japo umekuja na maamuz yako na umesha amua biashara frani ndo unataka kufanya.

Usiuze shamba kwanza endelea kufanya biashara hiyo kwa kiasi ulicho nacho au pambana naulicho nacho alafu baada ya mda nenda kwenye lengo husika.usifanye jambo kwa kushawishiwa bali + nazako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya nalielewa hilo kiongozi!.hakuna tatizo muongozo ninaO
Kuuliza bei ya shamba hapa sidhani kama ni sahihi. Bei inategemea vitu vingi sana. Utafiti wako ungeufanya huko huko sehemu shamba liliko. Unaweza kujifanya kama unatafuta shamba la kununua hilo eneo usikilizie utaambiwa bei gani.
 
Mkuuu unataka kuuza shamba ufanye biashara ya madini gani hapo arusha kama ni tanzanite mkuuu mhhhh! Hapana sikushauri hiyo hela kupotea kabisa kwa maelezo zaidi in pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mwache hajui tu kama kuna biashara dunia zinaongoza kwa kukufilisi mapema sana au kukupa utajiri wa haraka ni madini kwenye madini huku afrika wengi hatuendi na mtaji mtaji upate huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai Mu Wazima!

Nina shamba langu Hekari 5 lipo Tanga! Nafikiria kulipiga bei, then pesa nitakayopata niongezee niingie kwenye biashara ya madini huku Arusha.

Market Value ya hiyo Hekari 5 ita-range kama bei gani hivi? Tukizungumzia "Time Value Money".

Mawazo yenu wadau.
Huko Mtimbwani kiwanja hakina utata kweli???
 
Natumai Mu Wazima!

Nina shamba langu Hekari 5 lipo Tanga! Nafikiria kulipiga bei, then pesa nitakayopata niongezee niingie kwenye biashara ya madini huku Arusha.

Market Value ya hiyo Hekari 5 ita-range kama bei gani hivi? Tukizungumzia "Time Value Money".

Mawazo yenu wadau.
Achana na mawazo hayo utakua masikini milele
Robo eka tu unaweza kufuga Ng'ombe 10 wa kisasa wa maziwa
Ardhi ni utajiri
 
Back
Top Bottom