Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kuna gari imepaki nyumbani muda mrefu hivi kama miezi miwili bila kuguswa likiwa na mafuta kidogo sana.
Leo nikasema ngoja nijaribu kuliwasha nikapige nalo misele. Nikazungusha funguo mpaka pale kwenye on bila kupiga starter halafu nikawasha na AC.
Baada ya kama dk 10 hivi nikaona dashboard inafifia kama battery inaisha na AC ikazima.
Nikajaribu kupiga starter halikuwaka tena.
Hapo kunaweza kukawa na shida gani?