Bei Rahisi Stationary
Member
- Jul 28, 2026
- 57
- 115
Msaada upi kaka fungukaMsaada wa haraka
Vitu Gani niende navyo ili nipate mkopoMsaada upi kaka funguka
Mkuu nataka kufanya biashara je itawezekana kupata na vitu gani niende navyo?20M kwa. Ajiri yakufanya NIN mkuu
Kama ushawai kukopa naitaji experience yako?Nyie polisi kazi kuonea watu kumbe mshahara wenyewe laki 5!
Naitaji mkopo je vitu gani niende navyo ili nipate mkopo?we askari mpya, andika shida yako ieleweke
Naitaji experience yako mkuu?Mmmmhu kumbe serikalini mishahara ni ya kawaida tu wakuu upo mambo ya ndani na unapokea laki 5?? Sema makandokando ni mengi ya kupiga mirunda nje ya mshahara huo
Naitaji mkopo je vitu gani niende navyo ili nipate mkopo?Msaada upi kaka funguka
Job ID, 3 salary slips, confirmation letter, NIDA na pia ongea na mwajiri wako akusainieVitu Gani niende navyo ili nipate mkopo
Salary slip ya miezi mitatuJob ID, 3 salary slips, confirmation letter, NIDA na pia ongea na mwajiri wako akusainie
Mkuu nataka kufanya biashara je itawezekana kupata na vitu gani niende navyo?
Wanakuja wanaojua mkuu,,wengine sisi tunakimbizanaga na Hawa kausha damu mtaaniNaitaji experience yako mkuu?
Hiyo biashara ulishawahi kuifanya au unaiffanya🤔🤔🤔.Mkuu nataka kufanya biashara je itawezekana kupata na vitu gani niende navyo?
Nnayo naiendeleza MkuuHiyo biashara ulishawahi kuifanya au unaiffanya🤔🤔🤔.
Kama ndo unaanza biashara AFU pesa ya mkopo usianzishe na kibaya zaid wewe ni mtumishi utaajiri MTU, akiwa sio makin utajuta.😭😭😭😭
Kopa pesa kuendeleza biashara na si kuanzisha
Biashara ninayo nataka kuendelezaMkuu kama unakopa ili uanze kufanya biashara naogopa kwa niaba yako
Lakini yote kwa yote kila la heri