King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mkuu, kuna kitu kinaitwa standard. Ndiyo maana nchi zinazojielewa huweka minimum salary kulingana na level na aina ya kazi. Mfano, UAE ina viwango maalum vya mishahara kwa baadhi ya professions.Mkuu matumizi yake sio sawa na yako
Kuna mtu ukimtajia hela ambayo WEWE unaona unatoboa kwa mwezi anakushangaa na anaona haitoshi
Let's be humble kidogo
acha kukalili vitu ,serikalini mishahara ulipwa kutokana na vyeo ,muda wa mtu kazini na level ya elimu ,pia kila taasisi ina salary scale zake,kuna allowance tofauti tofauti kutokana na taasisi kuna watu kupitia ajira wanapiga mizigo kama wafanya boiashara tuMmmmhu kumbe serikalini mishahara ni ya kawaida tu wakuu upo mambo ya ndani na unapokea laki 5?? Sema makandokando ni mengi ya kupiga mirunda nje ya mshahara huo
Nenda benk husika na salary slip yako onana na afisa mikopo atakupa muongozoMkuu nataka kufanya biashara je itawezekana kupata na vitu gani niende navyo?
Kwa Mshahara wake wa laki 5 kwa CRDB max miaka 7 kurudisha mkopo ,hawawezi kumpa zaidi ya 8m.Nenda benk husika na salary slip yako onana na afisa mikopo atakupa muongozo
Sahihi mkuu around hiyo figure ndo atapata.Kwa Mshahara wake wa laki 5 kwa CRDB max miaka 7 kurudisha mkopo ,hawawezi kumpa zaidi ya 8m.
MSHAHARA kaupdate ni 1.5mKwa Mshahara wake wa laki 5 kwa CRDB max miaka 7 kurudisha mkopo ,hawawezi kumpa zaidi ya 8m.
Kama 1.5m basi 20m anapewa.MSHAHARA kaupdate ni 1.5m
Mkuu twende taratibu! Yan kufanya kazi wizara ya mambo ya ndani ulipwe laki 5? Na mfanya usafi wa hizo ofisi analipwa kiasi gan?acha kukalili vitu ,serikalini mishahara ulipwa kutokana na vyeo ,muda wa mtu kazini na level ya elimu ,pia kila taasisi ina salary scale zake,kuna allowance tofauti tofauti kutokana na taasisi kuna watu kupitia ajira wanapiga mizigo kama wafanya boiashara tu
Ana miaka miwili kaziniMk
Mkuu twende taratibu! Yan kufanya kazi wizara ya mambo ya ndani ulipwe laki 5? Na mfanya usafi wa hizo ofisi analipwa kiasi gan?
Hiyo N.B ulikuwa na maana gani wakati pesa ni pesa iwe ya kukopa nayo ni pesaNikiwa kama mjasiliamali mwenze uzoefu WA karibu nusu ya maisha yangu nakushauri usikope USIKOPE USIKOPE USIKOPE
Kwa mshahara wako wa 500k na kwa umri wako hutakiwi kukimbilia huko, two yrs kazini bado mchanga Sana presha za marafiki zisikushawishi
Huo mkopo WA 20m utakatwa let's say 300k kwa miaka sita
Na Nina amini kwakuwa huna uzoefu WA hela nyingi na huna uzoefu WA biashara hiyo hela itaisha ndani ya miezi sita pekee halafu utaanza kuishi kwa 200k for 6 good years,
NB: Usianze biashara kwa mtaji WA kukopa
Business is about experience, connection,Team,skills na cha mwisho Ndo watejaHiyo N.B ulikuwa na maana gani wakati pesa ni pesa iwe ya kukopa nayo ni pesa