Nahitaji mayai - Moshi

Nahitaji mayai - Moshi

Patience123

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2013
Posts
5,092
Reaction score
8,784
Wakuu, kama thread inavyojieleza natafuta mayai ya kienyeji au ya chotara kwa ajili ya kula, nitakuwa nanunua kwa tray moja moja.

Iwe bei ya jumla Mwenye nayo anipe ujumbe inbox 0621832691 napatikana Moshi mjini na Kibosho.

Asanteni.
 
Kuna mtu anafuga chotara Arusha namfahamu.

Naweza kukuunganisha nae akawa anakutumia mayai kwa bus?
 
Sichukui kwa quantity kubwa mkuu, kutoka Arusha gharama itaongezeka mkuu
 
Inamaana moshi nzima umekosa mayai mkuu?
 
Back
Top Bottom