Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,784 Jun 3, 2020 #1 Wakuu, kama thread inavyojieleza natafuta mayai ya kienyeji au ya chotara kwa ajili ya kula, nitakuwa nanunua kwa tray moja moja. Iwe bei ya jumla Mwenye nayo anipe ujumbe inbox 0621832691 napatikana Moshi mjini na Kibosho. Asanteni.
Wakuu, kama thread inavyojieleza natafuta mayai ya kienyeji au ya chotara kwa ajili ya kula, nitakuwa nanunua kwa tray moja moja. Iwe bei ya jumla Mwenye nayo anipe ujumbe inbox 0621832691 napatikana Moshi mjini na Kibosho. Asanteni.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jun 3, 2020 #2 Patience123 said: Wakuu, kama thread inavyojieleza natafuta mayai ya kienyeji au ya chotara kwa ajili ya kula, nitakuwa nanunua kwa tray moja moja. Iwe bei ya jumla Mwenye nayo anipe ujumbe inbox 0621832691 napatikana Moshi mjini na Kibosho. Asanteni. Click to expand... Kuna mtu anafuga chotara Arusha namfahamu. Naweza kukuunganisha nae akawa anakutumia mayai kwa bus?
Patience123 said: Wakuu, kama thread inavyojieleza natafuta mayai ya kienyeji au ya chotara kwa ajili ya kula, nitakuwa nanunua kwa tray moja moja. Iwe bei ya jumla Mwenye nayo anipe ujumbe inbox 0621832691 napatikana Moshi mjini na Kibosho. Asanteni. Click to expand... Kuna mtu anafuga chotara Arusha namfahamu. Naweza kukuunganisha nae akawa anakutumia mayai kwa bus?
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,784 Jun 5, 2020 Thread starter #3 Bavaria said: Kuna mtu anafuga chotara Arusha namfahamu. Naweza kukuunganisha nae akawa anakutumia mayai kwa bus? Click to expand... Sichukui kwa quantity kubwa mkuu, kutoka Arusha gharama itaongezeka mkuu
Bavaria said: Kuna mtu anafuga chotara Arusha namfahamu. Naweza kukuunganisha nae akawa anakutumia mayai kwa bus? Click to expand... Sichukui kwa quantity kubwa mkuu, kutoka Arusha gharama itaongezeka mkuu
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,323 Reaction score 12,594 Jun 5, 2020 #4 Inamaana moshi nzima umekosa mayai mkuu?