Nahitaji mayai wa kuku

Nahitaji mayai wa kuku

Eligi

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
167
Reaction score
15
Wapendwa nijulisheni wapi naweza kupata mayai kwa ajili ya kutotolesha.
●Aina ya mayai- yawe ya kuku aina ya hampshire.
●Au chotara yoyote- iwe dual-purpose.
●Au aina nyingine nzuri.(vizuri aina ikafahamika/ikatambulika)

Mwenye ufahamu ani-PM tufanye biashara.
 
Nina mayai aina ya LIGHT SUSSEX NA MFALME naweza kukuuzia mayai mia moja tu kwa kesho na yai moja ni shs 600.
 
Nahitaji kama 1000 hivi! But unaeza kunieleza vizuri kuhusu sifa za hao.
 
faida za light sussex google utaziona. sema mayai 100 unachukua au hautayachukua kwani usipoyachukua leo kesho
yatapelekwa kwenye incubator kutotoleshwa.
 
Ooooh ahsante. Hayatakuwa yanafikia idadi ninayohitaji. Next tym please.
 
ndo matatizo ya wafugaji wadogo kutoungana hapa wangeishapatikana hata watatu kuchukua hii order ya mayai elfu moja. Tuungane jamani.
 
mi ninayo mia moja ni ya kuku wazuri napatikana morogoro asante.........
 
#Zipuwawa nimeelezwa na ndugu mmoja kuwa hapo moro kuna maeneo naweza kupata hitaji langu. Nijuze kidogo kama unafahamu.
 
Back
Top Bottom