Okay, ngoja tuwasubiriNgoja Wanakuja Utapata
Itakuwa Vema Ukitaja Location Yako
Nenda Mbagala Zakhem baada ya hospital ya mbagala upande wa kushoto kama unaenda Rangi Tatu, utakuta Kuna Bajaj nyingi uliza hapo yupo wapi jamaa anauyeuza mabata na kuku utaoneshwa.Habari wakuu,
Nahitaji mayai ya Bata mzinga ambayo yanaweza kutotoa vifaranga (fertile eggs)
Mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwenye namba 0785 670 266.
Mimi nipo Dar, kama una hayo mayai popote pale Tz tuwasiliane wakuu
Natanguliza shukrani zangu
Mkuu mayai ya bata bukini anayo??Nenda Mbagala Zakhem baada ya hospital ya mbagala upande wa kushoto kama unaenda Rangi Tatu, utakuta Kuna Bajaj nyingi uliza hapo yupo wapi jamaa anauyeuza mabata na kuku utaoneshwa.
Mwaka jana (2021) nilinunua kila yai kwa 7000 na alinisafirishia kwenda Mwanza
Asante sana mkuu, ngoja nifanye utaratibu wa kufika hapo Mbagala.Nenda Mbagala Zakhem baada ya hospital ya mbagala upande wa kushoto kama unaenda Rangi Tatu, utakuta Kuna Bajaj nyingi uliza hapo yupo wapi jamaa anauyeuza mabata na kuku utaoneshwa.
Mwaka jana (2021) nilinunua kila yai kwa 7000 na alinisafirishia kwenda Mwanza