Nahitaji mayai ya Bata Mzinga

Nahitaji mayai ya Bata Mzinga

elnino

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
75
Reaction score
26
Habari wakuu,

Nahitaji mayai ya Bata mzinga ambayo yanaweza kutotoa vifaranga (fertile eggs)

Mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwenye namba 0785 670 266.

Mimi nipo Dar, kama una hayo mayai popote pale Tz tuwasiliane wakuu

Natanguliza shukrani zangu
 
Ngoja Wanakuja Utapata
Itakuwa Vema Ukitaja Location Yako
 
Habari wakuu,
Nahitaji mayai ya Bata mzinga ambayo yanaweza kutotoa vifaranga (fertile eggs)

Mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwenye namba 0785 670 266.
Mimi nipo Dar, kama una hayo mayai popote pale Tz tuwasiliane wakuu

Natanguliza shukrani zangu
Nenda Mbagala Zakhem baada ya hospital ya mbagala upande wa kushoto kama unaenda Rangi Tatu, utakuta Kuna Bajaj nyingi uliza hapo yupo wapi jamaa anauyeuza mabata na kuku utaoneshwa.
Mwaka jana (2021) nilinunua kila yai kwa 7000 na alinisafirishia kwenda Mwanza
 
Mkuu mayai ya bata bukini anayo??
 
Nenda Mbagala Zakhem baada ya hospital ya mbagala upande wa kushoto kama unaenda Rangi Tatu, utakuta Kuna Bajaj nyingi uliza hapo yupo wapi jamaa anauyeuza mabata na kuku utaoneshwa.
Mwaka jana (2021) nilinunua kila yai kwa 7000 na alinisafirishia kwenda Mwanza
Asante sana mkuu, ngoja nifanye utaratibu wa kufika hapo Mbagala.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom