Fido blyze
New Member
- Aug 14, 2017
- 3
- 2
Habari za utaftaji ndug zangu
nipo katika maandalizi ya vitalu vya upandaji miti ya fensi kwaajil ya kuzungushia uzio shambani
Changamito ni upatikanaji wa mbegu za fensi ya michongoma au kwa jina lingine fensi ya arusha
miche yake ikiwa mikubwa hutoa miba mirefu na urefu wa miiba yake unaweza kufikia had inch mbili au zaid
Naomba kwa yeyote mwenye mbegu zake au anaefahamu zinapo patikana tuwasiliane pm