Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua asali mbichi ambayo ni nzuri hvyo kwa mwenyekuhitaji tufanye biashara nakaribisha, biashara ya asali ina faida sana hasa ikipatkana asali yenye ubora , natanguliza shukrani zangu kwenu, napatikana tabata dsm,0786909280,,,0764064872