- Thread starter
- #21
First grade inatumika kwa matumiz ya nyumban kama chakula au alternatv sugar, second, inauzw kwny groceries kwa kuongezwa ingredients, third inatumika ktk pharmaceutical industries kutengneza dawa na vipodozi.Hiyo asali wananunua kwa matumizi gani?