Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

Hiyo asali wananunua kwa matumizi gani?
First grade inatumika kwa matumiz ya nyumban kama chakula au alternatv sugar, second, inauzw kwny groceries kwa kuongezwa ingredients, third inatumika ktk pharmaceutical industries kutengneza dawa na vipodozi.
 
Usitoe bidhaa/huduma ya bishara yako kabla hujalipwa, mambo ya uaminifu bila vigezo vinavyoeleweka kisheria au documentation ambazo zinaweza kuwa enforced kisheria ni kucheza kamari ya pesa yako, kuwa makini
 
Uko sahihi. Mtanzania mzuri ni yule ambaye ana shida ya mtaji. Atanyenyekea, atalia, atakupa kila aina ya ahadi. Ukimpa hizo fedha andika umeumia mno. Anageuka na kuwa mkali kama simba. Ahadi zote alizoahidi zinageuka na biashara atasema inaingiza hasara hvyo mpe mda arudishe fedha zako. Ndiyo kimoja.... hata kama ni ndugu yako mtakosana moja kwa moja.
 
Utatuma mzigo au aje kukagua na kulipa baada ya kupewa mali? Yaani una-suggest mtu asome tangazo kama hili halafu akutumie fedha na wewe utume mzigo ama?
 
Utatuma mzigo au aje kukagua na kulipa baada ya kupewa mali? Yaani una-suggest mtu asome tangazo kama hili halafu akutumie fedha na wewe utume mzigo ama?
Sikiliza wimbo upiotengenezwa na Ogopa deejay ili baadae usije ukasikiliza nyimbo zilizotengenezwa na Allan Mapigo.
 
Tuma mzigo malipo baadae
 
Mimi naweza kusuply kwa kuanzia tu lita mia moja ila lazima unipe nusu ya pesa ya thamani ya mzigo.
 
Nimeku-PM
 
Tuwasiliane kwa +255767112221
 
Wakuu nina dumu za lia 20 ... za asali mbichi ya tabora mwenye kuhitaji tuwasiliane ... utapima kwanza ukisha ridhia ndipo utafanya malipo 0742612561...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…