Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
7,743
Reaction score
13,657
Waungwana Habari!!

Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue

Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate

Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia?

Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea

Nakutakia Jumapili njema!!
 
Wanakuja sasa hivi ngoja, mi last person kumuuliza aliniambia ni 500 hiyo ni around 2017 kwenye story story
 
Upo wapi mkuu? Mimi nafuga kuku kwa kutumia cage napata mbolea pure kabisa ila sipo Dar
 
Waungwana Habari!!

Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue

Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate

Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia?

Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea

Nakutakia Jumapili njema!!
Mbona hujasema uko wapi? Iringa mjini kuna sehemu ipo. Gunia la debe 8 Tsh.10000.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom