Nahitaji mbolea ya kuku

Kinumbo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
3,039
Reaction score
5,560
Wakuu kwa wale wafugaji wa kuku wa kisasa aina ya layers yaani kuku wa mayai wale wanaotaga, nahitaji mbolea ya kuku wa aina hiyo. Itapendeza vizuri iwe ni kwa wale wanao fugiwa chini.

Yeyote mwenye mbolea aina hiyo niko hapa nakusubili.
 
Kwamba hamna anae fuga kuku hapa?
 
Wakuu kwa wale wafugaji wa kuku wa kisasa aina ya layers yaani kuku wa mayai wale wanaotaga, nahitaji mbolea ya kuku wa aina hiyo. Itapendeza vizuri iwe ni kwa wale wanao fugiwa chini.

Yeyote mwenye mbolea aina hiyo niko hapa nakusubili.
Uko mkoa gani?mimi nina kuku layers nafugia kwenye cage lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wa kwenye cage mbolea yake si inakuwa imeshikamana inakuwa kama mabonge bonge? Nataka ile mbolea kwa kuku wanao fugiwa chini maana inakuwa imeachiana (inakuwa kama mchanga hivi) ata ukiweka kwenye shamba unaweka kidogo na kwa urahisi.
Uko mkoa gani?mimi nina kuku layers nafugia kwenye cage lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…