Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko mkoa gani?mimi nina kuku layers nafugia kwenye cage lakiniWakuu kwa wale wafugaji wa kuku wa kisasa aina ya layers yaani kuku wa mayai wale wanaotaga, nahitaji mbolea ya kuku wa aina hiyo. Itapendeza vizuri iwe ni kwa wale wanao fugiwa chini.
Yeyote mwenye mbolea aina hiyo niko hapa nakusubili.
Hata ukihitaji viroba buku unapata. Nitakutumia namba ya muhusikaMkuu nahitaji viroba 300 iliyopimwa vizuri kwenye viroba vya kilogram 50.
Nitumie no yake bossHata ukihitaji viroba buku unapata. Nitakutumia namba ya muhusika